• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wafanyakazi wa CRI watembelea mji wa Qinhuangdao

  (GMT+08:00) 2017-09-10 20:05:26

  Wafanyakazi wa Radio China Kimataifa wametembelea mji wa Qinhuangdao ulioko mkoani Hebei hapa China. Kabla ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii, wafanyakazi hao walikutana na viongozi wa mji huo ambao walieleza kwa kifupi historia ya mji wa Qinhuangdao. Viongozi hao wamesema wamechukua hatua kadhaa kuboresha mji huo, ikiwemo kufanya mageuzi, kuanzisha miradi mikubwa ya ukarabati wa vivutio vya utalii, na kurahisisha njia za kuingia mjini humo kama kuboresha kituo cha treni na barabara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako