• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu ya Uingereza (EPL) Manchester City yaichakaza Liverpool

  (GMT+08:00) 2017-09-11 08:50:58

  Manchester City imeirarua bila huruma Liverpool kwa magoli 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza na kufanikiwa kukwea nafasi ya kwanza ya msimamo wa ligi hiyo.

  Kwingineko, Chelsea wameifunga Leicester City goli 2-1, nao Arsenal wakiona mwezi baada ya kuichaganga Bournemouth jumla ya magoli 3-0. Stoke City yenyewe imewabana mbavu Manchester United kwa kutoka sare ya goli 2-2. Na Tottenham ikiifunga Everton magoli 3-0.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako