• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • La Liga: Barca yaitundika Espanyol 5-0m huku Real Madrid ikiambulia sare.

  (GMT+08:00) 2017-09-11 08:51:16

  Barcelona imeibamiza Espenyol magoli 5-0 katika mchezo wa ligi kuu Hispania (La Liga) mchezo uliochezwa uwanja wa Camp Nou. Nayo Atletico Madrid ilitoka sare ya 0-0 na Valencia, huku Real Madrid ikilazimishwa sare ya 1-1 na Levante.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako