• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ndemla aitwa Sweden kuanza kucheza soka la kulipwa

  (GMT+08:00) 2017-09-12 08:57:21

  Kiungo wa Simba Sports Club na timu ya Taifa ya Tanzania Said Ndemla, ameitwa nchini Sweden kucheza soka la kulipwa. Meneja wa mchezaji huyo Jamal Kisongo amethibitisha kuwa, mchezaji huyo alifuzu majaribio na sasa wako kwenye mchakato wa kupata visa kwa msaada wa TFF na serikali ili mchezaji huyo aweze kupata vibali na kwenda nchini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako