• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kocha wa timu ya taifa ya Uganda ya wanawake ya rugby wachezaji 7 kila upande ataja kikosi

  (GMT+08:00) 2017-09-12 08:58:02

  Kocha wa timu ya taifa ya Uganda ya wanawake ya rugby kwa wachezaji 7 kila upande Helen Buteme ametaja kikosi cha wachezaji 12 watakaowakilisha Uganda katika mashindano ya Rugby ya Afrika ya wachezaji 7 yanayotarajia kufanyika Jumamosi na Jumapili nchini Tunisia.

  Kundi A lina timu za Afrika Kusini, Uganda, Tunisia na Morocco. Huku Kundi B lina timu za Kenya, Zimbabwe, Senegal na Madagascar.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako