• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Dhoruba Irma yasababisha vifo vya watu 10 Cuba

    (GMT+08:00) 2017-09-12 09:01:20

    Ripoti iliyotolewa na idara ya ulinzi wa kiraia nchini Cuba inasema dhoruba ya Irma imesababisha vifo vya watu 10 katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo. Ripoti inasema wengi wa wahanga walifariki baada ya kuangukiwa na majengo au kukumbwa na mafuriko kwenye pwani ya kaskazini ya nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako