• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kamati ya ICRC yasitisha operesheni jimboni Equatoria Sudan Kusini

  (GMT+08:00) 2017-09-12 09:48:19

  Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu ICRC imesitisha operesheni zake katika jimbo la Eqtatoria nchini Sudan Kusini, kufuatia mauaji ya mfanyakazi wake Ijumaa iliyopita wakati aliposambaza misaada kwa wahanga wa vita nchini humo.

  Msemaji wa ICRC nchini Sudan Kusini Bw Mari Mortvert amesema opresheni katika jimbo la Equatoria zimesimamishwa kwa muda ili kutathmini hali ya usalama na kuomboleza kifo cha mfanyakazi huyo. Amesema ICRC inafanya uchunguzi kuhusu mauaji hayo kabla ya kutoa uamuzi kuhusu operesheni zake kwenye eneo hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako