• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Qatar yasema iko tayari kufanya mazungumzo ili kutatua mgogoro kati yake na nchi za Ghuba

    (GMT+08:00) 2017-09-12 10:15:14

    Waziri wa mambo ya nje wa Qatar Sheikh Mohammed Al-Thani jana amesema Qatar iko tayari kufanya mazungumzo kwa ajili ya kutatua mgogoro wa kidiplomasia kati yake na nchi nyingine za Ghuba.

    Sheikh Al-Thani amesema Qatar inataka kufanya mazungumzo na nchi nyingine za Ghuba kwenye msingi wa kutokiuka sheria za kimataifa na kuheshimu mamlaka ya kila nchi.

    Sheikh Al-Thani amesema katika mkutano wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa uliofanyika huko Geneva, kuwa Qatar imekumbwa na changamoto nyingi kutokana na kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Misri na Bahrain.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako