• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatoa msaada mwingine wa tani 1,200 za mchele kwa Sudan Kusini

  (GMT+08:00) 2017-09-12 10:15:49

  Ubalozi wa China nchini Sudan Kusini jana ulikabidhi tani 1,250 za msaada wa mchele kwa nchi hiyo inayokumbwa na tatizo la njaa.

  Msaada huo ni sehemu ya ahadi iliyotolewa na China mwezi Aprili kuisaidia Sudan Kusini kutatua upungufu wa vyakula.

  Konsela wa uchumi na biashara wa ubalozi wa China nchini Sudan Kusini Bw. Zhang Yi, amesema tani 2,750 za msaada wa mchele zimekabidhiwa kwa serikali ya Sudan Kusini, na tani 1,500 zimefika nchini Kenya, na shehena ya mwisho ya msaada huo inatarajiwa kuwasilishwa mwishoni mwa mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako