• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Kusini yakubali kurudia mechi na Senegal

  (GMT+08:00) 2017-09-13 08:15:44

  Viongozi wakuu wa Afrika Kusini wamekubali mechi wa kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2018 ambapo Afrika Kusini iliibuka mshindi inastahili kurudiwa.

  Shirikisho la kandanda duniani FIFA lilitoa ilani kwamba mechi hiyo irudiwe baada ya mwamuzi wa mechi hiyo Joseph Lamptey kupigwa marufuku kwa kutoisimamia vyema mechi hiyo.

  Shirikisho la kandanda wa Afrika Kusini (SAFA) limekuwa likitathmini jinsi ya kukata rufaa lakini kwa sasa wamesema wamekubaliana na Fifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako