• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya mechi za klabu bingwa Ulaya (UEFA) timu kubwa zafanya mauaji.

    (GMT+08:00) 2017-09-13 08:16:05

    michuano ya ufunguzi wa mechi za klabu bingwa barani ulaya (UEFA) ilifanyika jana, Barcelona wakiitundika Juventus goli 3-0, PSG ikiitungua Celtic kwa jumla ya magoli 5-0, huku Chelsea ikiilaza bila huruma Qarabag goli 6-0, na Manchester United wakiimaliza Basel kwa goli 3-0, Benfika wakiwa nyumbani wamechezea kipigo cha bao 2-1 toka kwa CSKA Moscow, Olympiacos nao wakiwa nyumbani wakafungwa 3-2 na Sporting CP.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako