• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika yatafuta kuimarisha usimamizi wa maeneo ya urithi wa dunia

  (GMT+08:00) 2017-09-13 09:26:30

  Shirika la mfuko wa urithi wa dunia wa Afrika na aliyekuwa rais wa Namibia Bw. Hifikepunye Pohamba, kesho wataandaa mkutano wa viongozi wa wafanyabiashara mjini Windhoek, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhimiza maendeleo ya kiuchumi na kutatua changamoto zinazoukabili uhifadhi wa maeneo ya urithi wa dunia barani Afrika. Mkurugenzi mtendaji wa mfuko huo Bw. Webber Ndoro amesema lengo la mkutano huo ni kuhimiza ushirikiano wa sekta binafsi kwenye uhifadhi wa maeneo ya urithi wa dunia nchini Namibia na barani Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako