• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jose Mourinho ajitetea kwa kutomchezesha Ander Herrera mechi yao dhidi ya Basel

  (GMT+08:00) 2017-09-14 08:32:33

  Kocha wa Man United Jose Mourinho ambaye usiku wa September 12 2017 aliiongoza Man United katika mchezo wa UEFA Champions League dhidi ya Basel na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, ameamua kuweka wazi kwa nini hakumtumia Ander Herrera.

  Ander Herrera alicheza mechi yake ya kwanza ya msimu wa Ligi Kuu England weekend iliyomalizika Man United ikiambulia sare ya 2-2 dhidi ya Stoke City lakini kiungo huyo aliachwa katika mchezo wa juzi wa Champions League dhidi ya Basel.

  Jose Mourinho ameweka wazi kuwa maamuzi yake hayo yalikuwa ya kiufundi wala hakuna sababu nyingine kwani aliamua kutumia viungo wawili Matic, Pogba na Herrera kumuacha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako