• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mtu mmoja auawa katika tukio la ufyatuaji risasi katika shule moja Washington

  (GMT+08:00) 2017-09-14 09:26:47

  Mwanafunzi mmoja ameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika tukio la ufyatuaji risasi lililotokea jana asubuhi katika shule moja ya sekondari karibu na Spokane jimboni Washington, kaskazini magharibi mwa Marekani. Polisi wa kaunti ya Spokane wametangaza kukamatwa kwa mshambuliaji, lakini hawakumtaja mshambuliaji huyo ni nani na kwa nini alifanya shambulizi hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako