• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mikopo ya Kenya yafikia milioni 430

    (GMT+08:00) 2017-09-14 18:57:34

    Kenya imekopa hadi shilingi bilioni 430 ndani ya miezi 5 tangu Januari hadi Juni mwaka 2017 ili kufadhili miradi mikubwa ya miundo mbinu,

    Waziri wa fedha Henry Rotich amesema wizara hiyo imesaini mikopo 29 mipya ambayo inafadhili miradi kama vile kilimo, kawi, barabara na maji.

    Benki ya dunia hivi karibuni iliionya Kenya kwamba kuendelea kuongeza mikopo huenda kukathiri uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako