• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbunge wa Nyeri Kenya awasilisha ombi la kuondolewa kwa Jaji Mkuu

    (GMT+08:00) 2017-09-15 09:51:56

    Mbunge wa mjini Nyeri Ngunjiri Wambugu, jana aliwasilisha ombi mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama, kumwondoa madarakani Jaji Mkuu David Maraga. Wambugu anadai kuwa Jaji Maraga amekuwa mateka wa kundi la mashirika yasiyo ya kiserikali, ambao wamekuwa wakishambulia urais wa Kenyatta tangu mwaka 2013.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako