• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eurobasket yafikia tamati: Slovenia yatwaa ubingwa

    (GMT+08:00) 2017-09-18 08:37:52

    Mashindano ya kikapu ya Ulaya (Eurobasket) yamefikia kilele jana kwa timu za kupambana katika fainali ya michuano hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa Sinan Erdem.

    Timu ya taifa ya Slovenia kwa mara ya kwanza imetwaa taji hilo kwa kuishinda Serbia 93-85 mbele ya mashabiki 12,095 katika Sinan Erdem Arena, Timu ya taifa ya Uhispania imefanikiwa kukamata nafasi ya 3.

    Mchezaji Luka Doncic amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako