• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Iran autaka Umoja wa Ulaya uihimize Marekani kufuata makubaliano ya nyuklia ya Iran

    (GMT+08:00) 2017-09-18 09:03:14

    Rais Hassan Rouhani wa Iran ameutaka Umoja wa Ulaya uihimize Marekani kufuata makubaliano yaliyofikiwa kuhusu suala la nyuklia la Iran. Rais Rouhani alisema hayo alipokutana na spika wa baraza la chini la Bunge la Ubelgiji Bw Siegfried Bracke ambaye yuko ziarani nchini Iran. Bw. Bracke amesema makubaliano ya suala la nyuklia la Iran yana umuhimu mkubwa kwa Umoja wa Ulaya na Iran, na Ubelgiji itafanya juhudi kadri iwezavyo kuuhimiza Umoja wa Ulaya kulinda makubaliano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako