• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hali ya usalama wa wakimbizi wa Burundi mashariki wa DRC mashakani

    (GMT+08:00) 2017-09-18 09:22:35

    Wakimbizi kadhaa raia wa Burundi wameuwawa kwa kupigwa risasi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo karibu na mpaka wa Rwanda. Idadi ya wakimbizi waliouawa bado haijatajwa, an sababu za wakimbizi hao kuuawa bado hazijulikani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako