• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika Kusini kusaini mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia

    (GMT+08:00) 2017-09-18 09:50:21

    Afrika kusini itasaini mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia wiki ijayo wakati wa kikao cha 72 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa.

    Msemaji wa rais Afrika Kusini Bw. Bongani Ngqulunga amesema, rais Jacob Zuma atasaini mkataba huo kwa niaba ya Afrika Kusini tarehe 20 Septemba.

    Amesema kusainiwa kwa mkataba huo kunaonesha kuwa Afrika Kusini inaendelea na ahadi yake ya kutimiza dunia isiyo na tishio la silaha za nyuklia, na kuhakikisha nishati ya nyuklia inatumika kwa malengo ya amani tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako