• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mmoja kati ya watuhumiwa wawili wa shambulizi la subway mjini London atambuliwa

     

    (GMT+08:00) 2017-09-18 18:41:51
    Kituo cha televisheni cha mjini London, Uingereza, kimesema Yahyah Farroukh ametajwa kuwa mmoja wa watu wanaoshukiwa kufanya shambulizi kwenye kituo cha subway cha Parsons Green magharibi mwa jiji la London.

    Jana, polisi walikagua makazi ya Farroukh yaliyoko Stanwell, Surrey, huku mtu mwingine anayeshukiwa kuhusika na shambulizi hilo akikamatwa katika kivuko cha feri kilichoko Dover jumamosi asubuhi.

    Kundi la IS limedai kuhusika na shambulizi hilo lililotokea ijumaa na kusababisha watu 30 kujeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako