• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maendeleo ya uhusiano kati ya Panama na China yasaidia ustawi wa pamoja

    (GMT+08:00) 2017-09-18 19:23:25

    Rais Juan Carlos Varela wa Panama amesema nchi yake itauza bidhaa nyingi zaidi kwa China na kuimarisha uhusiano wa uchumi na biashara kwa kupitia eneo la biashara huria la Colon.

    Akizungumza kwenye hafla ya kuzindua ofisi za ubalozi wa China nchini humo mwishoni mwa wiki iliyopita, rais Valera pia amesema maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili yatasaidia kampuni za China kuingia Panama na kwenye eneo la bahari ya Caribbean, Amerika ya Kati hata Latin Amerika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako