• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mamelodi Sundowns waisogelea nusu fainali ligi ya mabingwa Afrika

    (GMT+08:00) 2017-09-19 08:07:20
    Mabingwa watetezi wa ligi ya Mabingwa Afrika Mamelodi Sundowns, wamejiweka kwenye mazingira mazuri ya kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo kwa msimu wa pili mfululizo.

    Wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani Mamelodi Sundowns wameshinda mchezo wao wa robo fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco. na sasa watasubiri mchezo wa marejeano jumamosi ijayo nchini Morocco.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako