• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: URA kuandaa hafla ya kupongeza watoa kodi

    (GMT+08:00) 2017-09-19 18:21:34

    Zaidi ya waonyeshaji bidhaa 400 wanatarajiwa kwenye hafla ya mwaka huu ya kutoa shukrani kwa walipa kodi itakayofanyika katika uwanja wa Kololo nchini Uganda.

    Hafla hiyo huandaliwa kila mwaka na mamlaka ya ushuru nchini humo URA kuhimiza watu kulipa kodi huku ikiwatambua wale wanaolipa bila kukwepa.

    URA imesema hafla hiyo inapenga kutoa mafunzo kwa umma kuhusu jinsi ya kupata huduma za serikali.

    Maonyesho hayo yanatarajiwa kufanyika kati ya 27-29, Septemba yakihusisha mashirika ya serikali na yale ya kibinafsi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako