• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya wazi ya Tenisi ya Seoul: Heather Watson kaanza kwa kupoteza mechi dhidi ya Sara Sorribes Tormo

    (GMT+08:00) 2017-09-20 08:45:25

    Mcheza tenisi toka Uingereza Heather Watson, ameshindwa katika duru ya kwanza ya michuano ya wazi ya tenisi ya Seoul, kwa kufungwa jumla ya seti 6-3, 6-0 na 6-1 na Sara Sorribes Tormo raia wa Uhispania.

    Sara alitumia vyema makosa yaliyofanywa na Watson, Watson anashikilia nafasi ya 78 ya tenisi duniani amesema hakutarajia kupoteza mchezo huo, anaelekeleza nguvu zaidi katika mchezo utakaofuata ili aibuke na ushindi. Sara yeye yuko katika nafasi ya 92 katika viwango vya wacheza tenisi duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako