• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 120 wafariki kutokana na tetemeko la ardhi Mexico

    (GMT+08:00) 2017-09-20 09:19:30

    Watu 120 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 7.1 kwenye kipimo cha Richter lililotokea jana alasiri katika jimbo la Morelos, katikati mwa Mexico. Kwa mujibu wa idara ya tetemeko la ardhi ya Mexico, hivi sasa kazi ya uokoaji bado inaendelea, na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Hii ni tetemeko kubwa la pili kuikumba Mexico katika wiki mbili zilizopita, na watu 98 walifariki dunia katika tetemeko lenye nguvu ya 8.2 lililotokea Septemba 7 nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako