• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wayne Rooney akatwa mshahara na klabu yake kwa kuendesha akiwa amelewa

    (GMT+08:00) 2017-09-21 08:21:23

    Klabu ya Everton ya nchini Uingereza imemlima adhabu ya kukatwa mishahara ya wiki mbili mshambuliaji wake Wayne Rooney kufuatia kukutwa na kosa la kuendesha gari akiwa amelewa. Fedha hizo zitapelekwa kwenye kituo cha watu wenye mahitaji maalum.

    Everton ina mradi wa kusaidia watu wasiojiweza na imesema fedha hizo zitasaidia sana. Rooney mwenye miaka 31 aliomba radhi ili aepukane na adhabu hiyo. Siku ya Jumatatu alihukumiwa kutoendesha gari kwa miaka miwili baada ya kukamatwa Septemba 1 akiwa anaendesha gari huku amelewa. Atafanya pia kazi za jamii kwa siku mia moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako