• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vikundi vya uongozi vinafanya juhudi kutafuta watu walionusurika kwenye tetemeko la ardhi Mexico

  (GMT+08:00) 2017-09-21 09:10:20

  Wafanyakazi kutoka idara mbalimbali za ulinzi wa kiraia za Mexico wanaendelea na juhudi za kuondoa kifusi kwenye majengo yaliyobomoka kwenye tetemeko la ardhi nchini Mexico.

  Idara ya ulinzi wa kiraia ya Mexico imesema zaidi ya watu 230, ikiwa ni pamoja na 100 mjini Mexico City, wamepoteza maisha yao kwenye tetemeko lenye nguvu ya 7.1 kwenye kipimo cha Richter lililotokea jumanne.

  Mkuu ya idara ya uratibu wa taifa ya ulinzi wa kiraia amesema wanajeshi zaidi ya elfu nne, wengine zaidi ya 3,500 wa kikosi cha majini, na polisi zaidi ya elfu 20 wanashiriki kwenye kazi ya uokoaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako