• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda kunufaika na ufadhili wa dola milioni 210 kutoka AGRA.

    (GMT+08:00) 2017-09-21 18:30:10

    Rwanda ni miongoni mwa nchi 11 za Afrika zikakazonufaika na ufadhili wa dola milioni 210 kutoka kwa shirika la kilimo barani humo AGRA.

    Pesa hizo zilizotolewa na wakfu wa Bilgates, Rockefeller na USAID zitatumika kuboresha kilimo.

    Nchi nyingine zinazofaidika ni pamoja na Rwanda, Ghana, Nigeria, Mali, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Ethiopia, Tanzania, Malawi na Mozambique.

    Rais wa shirika la AGRA Agnes Kalibata amesema chini ya ufadhili huo, nchi zilizochaguliwa zitaimarisha uzalishaji wa chakula, kufungua nafasi za ajira na kupunguza umaskini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako