• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Watengeneaji wa meko Uganda watakiwa kuwa na leseni

    (GMT+08:00) 2017-09-21 18:31:15

    Shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini Uganda UNBS limesema halitaruhusu tena watengenezaji wa meko ya makaa kuendesha shughuli zao bila leseni kuanzia Januari mwakani.

    UNBS imesema itatoa leseni ili kupunguza wale wanaotengeneza meko gushi wakidai yanatumia makaa kidogo na hayachafui mazingira.

    Mwakilishi wa Afrika Mashariki wa wakfu wa meko safi Daniel Wanjohi, amesema karibu watu 2,000 nchini Uganda hufariki kila mwaka kutokana na uchafuzi wa hewa unaotoknana na meko duni.

    Aidha Uganda hupoteza ekari 200,000 za misitu kila mwaka kutokana na shughuli za uchomaji wa makaa, kilimo na ueneaji wa makaazi mapya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako