• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: UBA imezindua kituo cha mawasiliano kwa wateja kitakachofanya kazi saa 24

    (GMT+08:00) 2017-09-21 18:33:13
    Benki ya United for Africa Tanzania (UBA) imezindua kituo cha mawasiliano kwa wateja kitakachofanya kazi saa 24.

    Kituo hicho kinachofahamika CFC kinalenga kutoa na kupokea taarifa kwa wateja.

    Benki hiyo pia imejipanga kufungua matawi mapya manne nchini ili kupanua wigo wa huduma.

    Mkurugenzi Mtendaji wa UBA, Peter Makau amesema wamejipanga kuwasogezea huduma wateja.

    Amesema katika kipindi ambacho benki imeanza kufanya kazi nchini, wameona ipo haja ya kuongeza matawi na kupanua wigo wa huduma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako