• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya vifo kutokana na tetemeko la ardhi Mexico yafikia 273

  (GMT+08:00) 2017-09-22 08:41:35

  Taarifa iliyotolewa na idara ya ulinzi wa kiraia ya Mexico, imesema idadi ya vifo vinavyotokana na tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 7.1 kwenye kipimo cha Richter, lililotokea jumanne katikati ya nchi hiyo, imeongezeka hadi 273. Nusu ya vifo hivyo vilitokea katika mji mkuu Mexico City, ambako majengo 40 yalibomoka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako