• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu ya Uhispania (La Liga) Suarez afunga goli la tatu, Barcelona yashinda, Madrid ikiponea kwenye tundu la sindano.

    (GMT+08:00) 2017-09-25 08:35:09

    Barcelona imeibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Girona katika mchezo wa ligi kuu ya Uhispania –La Liga mchezo uliochezwa katika uwanja wa manispaa ya Montilivi mjini Girona Uhispania. Wachezaji wa Girona walijifunga katika dakika ya 17 na 48 na kuipa Barcelona mabao 2, kabla ya Luis Suarez kuhitimisha karamu ya magoli kwa kufunga goli la 3 dakika ya 69. Nayo Real Madrid iliponea katika tundu la sindano baada ya kuifumua Alaves 2-1. Kinda Dani Ceballos ameifungia Madrid goli zote 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako