• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Parker atetea taji la WBO kwa kumtwanga Fury

    (GMT+08:00) 2017-09-25 08:35:52

    Bondia Joseph Parker amefanikiwa kutetea mkanda wa WBO uzito wa juu baada ya kumtwanga Hughie Fury kwa pointi mwishoni mwa wikiendi hii katika ukumbi wa Manchester Arena kwenye pambano la raundi 12. Katika mchezo huo, bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa juu Tyson Fury ambae ni ndugu na Hughie Fury alilalamika kuwa ndugu yake amedhulumiwa ushindi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako