• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakulima wamepata sh bn 78.3 kwa mapato yao licha ya ukame mapema mwaka huu

    (GMT+08:00) 2017-09-25 19:12:02

    Wakulima wadogo wa chai ambao wako chini ya Shirika la Maendeleo la chai la Kenya (KTDA) wamepata jumla ya Sh bilioni 78.3, kutokana na mauzo ya chai wakati wa mwaka wa fedha wa 2016/17.

    Hii ni licha ya ukame mkali ambao ulishuhudiwa nchini mapema mwaka huu.

    Kati ya Sh bilioni 78.3 , wakulima katika wilaya 15 ambazo zinazalisha chai watapokea Sh.bilioni 57 kwa malipo ya jumla.

    Kutokana na ukame, uzalishaji wa chai ulishuka hadi kilo milioni 976.3 kutoka kwa kilo bilioni 1.235 mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako