• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya Mabingwa barani Ulaya: mechi kuendelea leo, Real Madrid kukutana na Borussia Dortmund

    (GMT+08:00) 2017-09-26 08:46:57

    Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea leo, Real Madrid wanakutana na Borussia Dortmund huku kiungo mjerumani wa Real Madrid Toni Kroos akirejea kikosini tayari kuwavaa Dortmund.

    Kurejea kwa Kroos kutaongeza morali hasa katika sehemu ya kiungo ambayo imeonekana ilikuwa ikipwaya.

    Nayo Manchester United wameifuata CSKA mjini Moscow Urusi tayari kwa mchezo utakaopigwa kesho jumatano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako