• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Peugeot yaanza kutengeneza magari Kenya

    (GMT+08:00) 2017-09-26 19:03:04

    Kampuni ya kutengeneza magari ya Peugeot imeanza kuunganisha magari katika kiwanda cha Thika nchini Kenya.

    Kampuni hiyo ya ufaransa itatengeneza magari aina ya 508 na 3008 ikishirikiana na kampuni nyingine ya Kenya , Urysia

    Gari la 508 ni aina ya sedan huku nayo 3008 ikiw a ni SUV ambayo ilityunukiwa tuzo la gari la Mwaka 2017 mjini Geneva.

    Bei ya magari yote mawili yatakuwa zaidi ya dola 40,000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako