• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Airtel yashusha bei kwa bidhaa zake

    (GMT+08:00) 2017-09-26 19:04:37

    Kampuni ya kutoa huduma za mawasiliano ya Airtel Tanzania imetoa punguzo la bei kwa bidhaa zake.

    Kampuni hiyo imeshusha bei ya bidhaa nyingi ili kuwawezesha watanzania kuzipata kwa urahisi.

    Haya yamesemwa na Meneja wa Huduma kwa wateja wa kampuni hiyo, Celina Njuju, ambaye amethibitisha kuwa bidhaa hizo zinapatikana kwenye maduka yote ya Airtel.

    Baadhi ya bidhaa ambazo Airtel imepunguza bei ni Wingle USB Modem, simu za mkononi za aina mbalimbali.

    Pamoja na bidhaa hizo, mteja atakayenunua pia atapatiwa bonsai inayohusisha vifurushi vya internet, ujumbe mfupi wa maandishi na dakika za bure za muda wa maongezi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako