• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya kutuma maombi kuandaa kombe la dunia la vijana wasiozidi miaka 17 au 20

    (GMT+08:00) 2017-09-27 09:27:43

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limeahidi kuunga mkono ombi la Kenya kuandaa kombe la dunia la wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 ama 20 mwaka 2019, kulingana na Rais wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) Nick Mwendwa.

    Akizungumza jijini Nairobi katika kikao na wanahabari, Mwendwa amesema Kenya sasa inaangalia mashindano mengine makubwa baada ya kupoteza haki za kuandaa mashindano ya CHAN mwaka 2018.

    Mwandwa alisema kuwa Shirikisho la Soka duniani (FIFA) linataka mashindano hayo ya chipukizi ya dunia yafanywe kwa mfumo wa kuzuru kila bara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako