• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mchezo wa wazi wa Tenisi wa Wuhan: Ashleigh amfunga Konta

    (GMT+08:00) 2017-09-27 09:28:24

    Mwingereza Johanna Konta ameshindwa kufurukuta dhidi ya Ashleigh Barty baada ya kufungwa katika mchezo wa raundi ya pili katika michuano ya wazi wa tenisi wa Wuhan nshini China.

    Ashleigh alimfunga Konta kwa jumla ya seti 6-0, 4-6, 7-6 na (7-3) .

    Naye Peng Shuai wa china amemgalagaza Petra Kvitova wa Jamhuri ya Czech seti 7-6 (9-7) 6-7 (5-7) 7-6 (7-3) katika mchezo ambao ulijaa upinzani .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako