• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha habari cha mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China kutoa huduma kuanzia tarehe 11 Oktoba

    (GMT+08:00) 2017-09-29 18:07:48

    Kituo cha habari cha mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China kitaanza kutoa huduma tarehe 11 Oktoba.

    Kituo hiki kitawasaidia waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi kupata vitambulisho kwa ajili ya mahojiano, kupokea maombi yao ya maojiano na kupanga shughuli husika. Pia kufanya mikutano na waandishi wa habari, kuendesha tovuti, na kutoa huduma mbalimbali na uhakikisho wa kiufundi kwa mahojiano wakati wa mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako