• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Titanium Ltd kuilipa serikali ya Kenya asilimia 5 kwa kila madini inayosafirisha nje

    (GMT+08:00) 2017-09-29 18:44:30

    Mombasa- Kampuni uchimbaji madini ya Titanium katika kaunti ya Kwale Titanium Limited inatarajiwa kuanza kuilipa serikali ya Kenya asilimia tano ya madini inayosaafdirisha nje ya nchi ifikapo Januari mwaka ujao.Katibu wa kudumu katika wizara ya madini ya Kenya Bw Ibrahim Mohammed amesema serikali imefikia makubaliano na kampuni hiyo kuongeza ada hiyo kutoka asilimia 2.5 hadi asilimia 5 kisha hatimaye asilimia 7.5 kwa kuzingatia mazingira ya soko.Makubaliano hayo yanakuja wakati ambapo kampuni hiyo katika robo ya kipindi kilichomalizika juni 30 ilipata jumla ya shilingi bilioni 5.1 kutoka kwa mauzo ya Titanium nje ya nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako