• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wajumbe watakaohudhuria mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China wachaguliwa

    (GMT+08:00) 2017-09-29 19:13:18

    Kazi ya kuchagua wajumbe wa mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China imemalizika kwa mafanikio kama inavyoelekezwa na mpango wa kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China.

    Idara mbalimbali za uchaguzi nchini kote zimefanya mikutano ya wanachama na kuwachagua wajumbe 2,287 watakaohudhuria mkutano huo, ambao ni pamoja na maofisa wa chama, wafanyakazi, wanawake, watu wa makabila madogomadogo, wajumbe kutoka sekta za uchumi, sayansi na teknolojia, ulinzi, siasa, elimu, habari, utamaduni, afya, michezo na usimamizi wa jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako