• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuna vyuo 516 vya Confucius kwenye nchi na sehemu 142 duniani

    (GMT+08:00) 2017-09-30 19:13:49

    Makao makuu ya Chuo cha Confucius tarehe 29 ilisema kuwa, chuo hicho kilipata maendeleo makubwa tangu ianzishe kabla ya miaka 13 iliyopita, kuna vyuo 516 vya Confucius na madarasa 1,076 ya Confucius kwenye nchi na sehemu 142 duniani, na kuwafundisha wanafunzi zaidi milioni 7 kwa ujumla.

    Kutokana na takwimu, kuna wanafunzi milioni 2.1 kwenye vyuo hivyo vya Confucius. Ndani ya nchi 51 kwenye njia ya Ukanda moja na njia moja, kunda vyuo 135 vya Confucius na madarasa 129. Kutokana na kuongezeka kwa maendeleo ya uchumi wa China na mawasiliano ya kimataifa, mahitaji ya nchi zote duniani kwa lugha ya kichina yanaongezeka kwa haraka. Hivi sasa nchi 67 zimeweka mafunzo ya lugha ya kichina kwenye mfumo wa elimu wa raia kwa kupitia sheria, na nchi zaidi 170 zilianzisha masomo ya lugha ya kichina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako