• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Tanzania Bara: Sare zatawala mechi za Jumamosi, Simba yapeta na kushika uskani wa ligi, Azam yapunguzwa spidi

    (GMT+08:00) 2017-10-02 08:22:18
    Mtibwa Sugar imelazimisha suluhu ya bila kufungana na Yanga kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, huku Azam ikishindwa kulinda rekodi yao ya kutokufungwa bao baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Singida United kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Mwadui fc nao wametoka sare ya bao 2-2 dhidi ya Mbeya City, Ndanda fc ikiifunga Lipuli 2-1, Mbao fc ikitoka sare ya 1-1 na Prisons, huku Majimaji wanalizombe wakitoka sare ya 0-0 na Kagera Sugar. Ligi iliendelea jana Simba ikirejea katika uskani wa ligi baada ya kuifunga Stand United ya Shinyanga 2-1.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako