• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Malipo ya bidhaa kupitia njia ya simu ya panda juu kwa asilimia 71

    (GMT+08:00) 2017-10-02 20:25:12

    Zaidi ya nusu ya fedha iliyotumiwa kupitia simu za mkononi kati ya mwezi Aprili na Juni mwaka huu ilikwenda kwa ulipaji wa bidhaa na huduma, takwimu mpya imeonyeshwa.

    Takwimu kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya zinaonyesha kuwa Sh bilioni 692.1 asilimia 57.68 ya Sh trilioni 1.2 ya thamani ya milioni 480.5 ya utumwaji wa fedha kwa njia ya simu ya mkononi kupitia jukwaa la kibiashara, ilifikia milioni 40 wakati huo .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako