• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ricky Burns atamba kumpiga mpinzani wake Anthony Crolla Jumamosi

    (GMT+08:00) 2017-10-05 08:21:26

    Mwanamasumbwi, Ricky Burns ametamba kumpiga mpinzani wake Anthony Crolla katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi hii. Pambano hilo la uzito wa lightweight litakalo fanyika Manchester Arena, Burns anaamini atawafurahisha mashabiki wake wakati atakapochukua ushindi mbele ya bingwa huyo wa zamani wa dunia. Mabondia wengi wamekuwa wakitamba kabla ya pambano lakini mwisho wake hupoteza mchezo.

    Mabondia hao wote wawili wamepoteza mapambano yao ya mwisho kabla ya kukutana katika ulingo Jumamosi hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako