• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tovuti ya Kituo cha habari ya Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China kufunguliwa tarehe 11 Oktoba

  (GMT+08:00) 2017-10-09 19:06:41

  Tovuti na akaunti ya Wechat za Kituo cha habari ya Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China zitafunguliwa tarehe 11 Oktoba. Anuani ya tovuti hii ni http://19th.cpcnews.cn, na akaunti ya Wechat ni cpcnews19th.

  Habari zinasema tovuti na akaunti hii itatoa ajenda, habari na taarifa mbalimbali za mkutano huo. Waandishi wa habari pia wanaweza kufahamishwa huduma na hatua za kituo cha habari kwa kutoa maswali kwenye akaunti ya Wechat.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako