• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tuzo ya Ballon D'or 2017: orodha ya wachezaji 10 wa mwanzo yatajwa

  (GMT+08:00) 2017-10-10 09:01:34

  Waandaaji wa tuzo ya Ballon D'or nchini Ufaransa wametoa orodha ya majina 10 ya mwanzo ya wachezaji wanaowania tuzo hiyo. Wabrazil Neymar Jr na Philippe Coutinho na mfaransa N'golo Kante ni miongoni mwa nyota 10 wa mwanzo katika orodha ya wachezaji 30 walioingizwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa dunia, Ballon D'or mwaka 2017.

  Kante alikuwa nyota wa ligi kuu ya Uingereza ametajwa kufuatia mafanikio yake ya msimu wa 2016/2017 akitwaa tuzo ya mwanasoka bora wa chama cha wachezaji wa kulipwa PFA, na kuiwezesha Chelsea kutwaa ubingwa msimu uliopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako