• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la Mataifa ya Afrika ya Volleyball: Kenya yaichabanga Tunisia

  (GMT+08:00) 2017-10-11 09:25:41

  Timu ya Volleyball ya wanawake ya Kenya imeimarisha nafasi yao katika kundi la B katika michuano ya Umoja wa Mataifa ya Volleyball ya Afrika baada ya kuishinda Tunisia katika mechi yao ya mwisho iliyochezwa uwanja wa Palais des Sports Indoor huko Yaounde Cameroon jana.

  Janeth Munala wa Kenya alikuwa kinara wa mchezo huo kwa kuweza kufunga seti 3-0,25-17, 25-21, 25-16) . Kenya sasa watakutana na timu ya pili ya kundi A kwenye nusu fainali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako